Tuesday, April 28, 2015

Welcome Note

Welcome dear world wide internet users. This blog means to serve your needs and dream to work at home, either as a part time or full time. There're a lots of opportunities outta there, the challenge is to find the legit one. I, as one of the online freelancer, will take my time to search for legit work at home opportunities and/or websites offering those opportunities for you.



In addition, it means to help aspiring screen writers and others in the film industry to have open platform where users will share their ideas and thoughts which will eventually make them attain their long term dreams.



Ujumbe wa Kukukaribisha

Karibuni watumiaji wa internet kutoka sehemu mbalimbali duniani. Lengo kuu la blog hii ni kukamilisha ndoto zako za kufanya kazi za kwenye mtandao ukiwa nyumbani kwako; kazi hizi zikiwa kama za muda (part-time) au za kudumu (full-time). Zipo fursa nyingi mitandaoni lakini changamoto iliyopo ni kupata zile ambazo ni za kweli na zisizo za kitapeli. Mimi binafsi, nikiwa ni miongoni mwa watu wanaofanya kazi za kwenye mtandao, nitatumia muda wangu kutafuta kazi za mtandaoni na/ama tovuti zina zinazotangaza kazi hizo na kuweka kila kitu kwenye mtandao huu kwa ajili yako.

Kwa nyongeza, blog hii pia ina lengo la kusaidia na kuibua mijadala na tafakuri miongoni mwa waandishi wa miswada ya filamu na wadau wengine tasnia hiyo ili hatimae waweze kufikia ndoto zao za muda mrefu.

2 comments: